Latest Updates

CHADEMA NDANI YA TABORA....soma picha za matukio

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Tabora leo tarehe 16/12/2013, katika mkutano  wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Uyui jana, ikiwa ni mfululizo wa ziara yake ya kujenga chama katika mikoa ya Kigoma, Tabora na Singida. (Picha na Joseph Senga).




Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akivishwa shada la maua na mmoja wa watoto wa kijiji cha Kakola katika jimbo la Tabora mjini, alipokwenda kufungua tawi la chama hicho, akiwa katika ziara yake ya kujenga chama jana.