Picha ya aliyekuwa Miss Tanzania
1999 Hoyce Temu ambeye pia ni mtangazaji wa kipindi cha MIMI NA TANZANIA iliyo sambaa
mitandaoni. Akiwa katika hali isio yakawaida
ndani nyamachoma festival
juzi
jumamosi
viwanja vya posta kijitonyama.
Picha hii imekuwa gumzo hasa kwenye mtandao wa twitter
 |
| Hoyce Temu |