ROMA KUJIUNGA NA CHADEMA!!!
Hiii
picha leo imeleta maswali mengiii sana kwamba je msanii roma ndio
kajiunga na chadema au ni mavazi tu kaaamua kuvaaaa?kwani ukimtazama
vizuri mkono wa kushoto amevaaa kitambaaa cheusi ishara ya maombolezo ya
msiba,sasa hatujajua ni movement for change au ni kuomboleza kifo cha
mzee madiba?dj sek blog tunaendelea kumtafuta roma atupe majibu
kamili,picha kwa hisani ya dj choka.
Posted
