Latest Updates

UNAAMBIWA PAMOJA NA NICK MINAJ KUPENDEZA KOTE KULE SIKU YA TUZO ZA FILAMU ZA MTV HAKUVAA CHU**PI...JIONEE HAPA



Nicki Minaj hataki tena kuvaa mawig ya rangi rangi kama zamani na muonekano huo umeonekana kuwavutia wengine. Ndio maana kwenye wasichana waliopendeza kwenye red carpet ya tuzo za filamu za MTV zilizofanyika jana nchini Marekani, Nicki ni mmoja wao. Akiwa na gauni jeusi lililolishika vyema umbo lake la kuvutia, Nicki alikuwa hajavaa kitu muhimu zaidi.. nguo ya ndani. Hata hivyo kwa muundo wa nguo yenyewe haikuwa rahisi kushtukia hili hasa kama ukimwangalia kwa mbele au nyuma.








Source:Bongo5.com