Latest Updates

AIBUUU..! KUTOVAA NGUO ZA NDANI KWAMUUMBUA NAOMI CAMPBELL



Mwanamitindo wa kimataifa wa Marekani, Naomi Campbell mwishoni mwa wiki jana alikumbwa na tukio la aibu baada ya tatizo lake la kusahau kuvaa chupi kumsababishia tatizo kubwa wakati akishuka kwenye gari lake na kukumbana na camera za wapiga picha za kidaku….!

Kutokana na kutovaa nguo hiyo ya ndani, Naomi wakati akishuka kwenye gari lake hilo alijikuta nguo zake zikifunuka na kuacha wazi kabisa nyeti zake, na wapiga picha hao wakafanikiwa kumpiga picha kadhaa ambazo zimesambaa mtandaoni….


Wengi wa walioziona picha hizo wameibua mjadala mtandaoni kwa kumtuhumu mwanamitindo huyo kwa kutojitunza kwenye nyeti zake.