Latest Updates

JIMAMA SHABIKI LA AFRICAN SPORTS TOKA TANGA LA FANYA VIROJA UWAJANI MOROGORO




Jimama hilo likiingia uwanja wa Jamhuri Morogoro nakiroba kilichojaa pombe kali


Likianza kufanya viti vyake jukwaani,mbele ya umati mkubwa wa wanaume

Mzuka unaaza kumkolea


Akishiriki kuishangilia timu yake ya African Sports 'wana kimanumanu'

Aliacha kushangilia na kumu kuwakatikia mauno mashabiki
 

Akikolezwa kwa kupigiwa ngoma za asili

 

Mpiga ngoma mzuka umempanda na kuamu kuacha kupiga ngoma na kucheza na Jimama hilo


Wachezaji wa Sports wakishiriki kushangilia baada ya kuwa Nyuka wapinzani wao Kiluvya ya Pwani kwa bao 1-0

Shabiki mwingi wa African Sports akishangilia timu yao

Wakti Jimama hilo likifanya vitu vyake mzimamizi mkuu wa kituo cha Morogoro Bw Godfrey Nyange Kaburu alishika tama na kuficha sura yake akikwepa kuangalia vituko hivyo
 
 Jimama hilo kutoka jijini Tanga.

MWANAMKE mmoja mwenye mwili mkubwa 'Jimama' aliyejitambulisha kwa jina la Asia ldd ambaye amefunga safari kutoka Jijini Tanga kuja Morogoro kuishangilia timu yake ya Africani Sports'Wana Kimanumanu' inayoshirki ligi ya mabingwa wa Mikoa kituo ch Morogoro juzi hilo Jimama hilo liliacha simulizi kwenye Uwanja wa Jamhuri baada ya kufanya vituo vilivyopeleka msimamizi mkuu wa kituo cha Morogoro Godfrey Nyange 'Kaburi' kushika tama na kuradhimika kuficha sura yake kukwepa kuangalia vituko hivyo vilivyokuwa vikifanywa na Jimama hilo.

Picha zote na Dustan Shekidele Morogoro.