Latest Updates

BONGO VITUKO SANA..!! BAADA YA DIAMOND NA WEMA KUACHIA PICHA WAKINYONYANA NDIMI HADHARA, AUNT EZEKIELI NAYE AJIBU KWA KUACHIA PICHA AKILIWA DENDA..!!





Aunt ezekiel afata nyayo za wema sepetu na diamond the platnumz, ni jana tu tuliona diamond the platnumz na wema sepetu waliamua kuachia picha ikionyesha huku wakinyonyana ndimi, basi na aunt yake akaona isiwe shida, na yeye huko alipo dubai akaamua kufanya yake kwa kufanya mapenzi na mpenzi wake, na baada ya hapo akaamua kufotoa picha huku wakinyonyana ndimi na kuficha sura ya mwanaume wake, haya hao ndio wasani wetu na ndo vioo wa jamii sijui wadau mnasemaje.