Home » Uncategories » PICHAZ: AJALI MBAYA YA MAGARI SITA YATOKEA MKOANI MOROGORO...!
PICHAZ: AJALI MBAYA YA MAGARI SITA YATOKEA MKOANI MOROGORO...!
Ajali hii mbaya ikihusisha magari sita imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya jirani na manispaa ya Morogorro..Taarifa za awli zinasema hakuna mtu aliyepoteza maisha ila watu kadhaa wamejeruhiwa...