PICHA ZA KITCHEN PARTY YA KIM KADASHIAN
Ikiwa zimebaki siku chache kwa Kim na Kanye West kufunga ndoa, Kim Kardashian ameonekana akitoka katika Hotel ya Peninsula katika mji wa Beverly Hills ambako sherehe hizo zijulikanazo kama Bridal shower (a gift-giving party held for a bride-to-be in anticipation of her wedding) ambazo kibongo bongo ni kama kitchen party.
Kwamujibu wa vyanzo wa habari ya UDAKU nchini Marekani, Sherehe hizo zilifanyika bila kuruhusu mtu kuchukua video wala picha....
Kwa bahati nzuri Kim mwenyewe aliamua kushare nasi picha hizi baada ya kutoka kwenye sherehe hiyo.
Hizi ni picha alizopiga na watu wakaribu na familia yake akiwepo mama yake...
ZAIDI
Posted