Latest Updates

Tazama Ujumbe Mzito Aliyoandika K-Lyine Kwenda Kwa Mheshimiwa Mengi Ikiwa Leo Ndiyo Birthday Ya Mengi



Leo ni siku ya kuzalia ya Mzee wetu, Reginard Mengi kama ilivyo kwawida kwa marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa, kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM, mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lyin amemtumia salamu mzazi mwenzie kwa kuweka picha hii:
Nakuandika ujumbe huu:


"Wishing my love,best friend,father of my kids and the most wonderful human being I know Reg,a Very Happy Birthday With all my love"
Mtandao Huu unakutakia furaha na maisha marefu mzee wetu!!