Home » Uncategories » ANGALIA PICHA MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM,SAID MECKY SADICK AONGOZA KUAGA MWILI WA TYSON
ANGALIA PICHA MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM,SAID MECKY SADICK AONGOZA KUAGA MWILI WA TYSON
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akiaga mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' katika Viwanja vya Leaders, Dar.
Said Mecky Sadick wakati akielekea kuaga mwili wa Tyson.
Mwili wa marehemu George ukiandaliwa kwa ajili ya kuagwa.
Mwili wa George Tyson ukiagwa.
Posted