Latest Updates

SAHAU KUHUSU "WEMA SEPETU" HUYU NI MREMBO MWINGINE ANAYETESA VIGOGO HUKO UGANDA..


WEMA SEPETU
Mda kidogo umepita Tangia Wema Sepetu kuchukua Tuzo kama Mlimbwende mwenye Mvuto zaidi hapa Bongo, na Lingine tofauti sana na ilo wema amekuwa akizungumziwa sana mwaka huu katika vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii,.Hivyo kuzidi kumzolea Umaarufu kila kukicha.
Pia katika chunguzi zilizofanywa wema sepetu anasadikika kuwa mwenye utajiri wa kumtosha kwa kumiliki Jumba lenye dhamani zaidi ya Milioni 400, Kampuni ya Endelss film, magari nk.




ZARI THE BOSS LADY.
Unaweza kujiuliza maswali mwengi sana kuhusu jina hili, kwa nini "THE BOSS LADY"??
Zari ni Mlibwende anayezungumziwa sana katika mitandao mbalimbali ndani na Nje ya UGANDA, kwa Utajiri wake wa ajabu. huku akiwaacha vigogo wengi kwenye mataa kwa Uzuri na Umbo lake la kuvuztia.
Pia skendo za hapa na Pale hazimwishi, hii upelekea kuzidi kumpa umarufu zaidi na zaidi.
Zari anamiliki magari ya kifahari, makampuni na Asasi binafsi ili kuendesha maisha yake ya kawaida.


HIZI NI BAADHI YA PICHA ZAKE