Latest Updates

BAADA YA ODAMA HUYU NI MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIES ALIYEBEBA MIMBA KIMYA KIMYA NA KUJIFUNGUA KIMYA KIMYA MTOTO WA KIUME

 

STAA wa filamu za Kibongo, Aisha Bui amepata mtoto wa kike aliyejifungua kwa njia ya upasuaji lakini kumekuwa na usiri mkubwa katika jambo hilo.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aisha alisema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia mtoto wa kike aliyempa jina la Saloma.
“Nimefurahi sana, kumpata mtoto ni jambo la kumshukuru Mungu na sasa najisikia raha sana kuitwa mama,” alisema Aisha na kuongeza kuwa, mwanaume aliyezaa naye ni mchumba wake wa siku nyingi