
Mmmh..Jamani hii dunia ina mambo na ama hakika ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni...Mi sitii neno zaidi, JIONEE PICHAZ after the cut picha zinajieleza zenyewe..Ila vipi mdau wadhani hii ni adhabu sahihi kwa wezi wa wake za watu?!Shuka chini tupia maoni yako...