Show ilifanyika Usiku wa kuamkia leo tarehe 22.06.2014 ambapo iliwaleta Yakuza Mobb pamoja na Mnyama T.I.D toka Dar es Salaam ambao kwa pamoja walikinukisha ile kishida pale Maisha Club Dodoma
Mtoto wa Town Mamuu
Abby kinywele akiwa na Best Friend wake Mumuu
bouncer Mamba akiwa na Mrembo wa Maisha Club
One Six nae alipiga show ya kufa mtu
Yakuza Mobb walikamua vya kutosha kabla ya mnyama TID kuingia kwa Stage
DJ Abou Mkali
Hapa ni Bang Bang (Yakuza & Mnyama)
Sijaja kuuza sura hapa ni kazi tu......
Miss Tabora akishow love kwa mnyama