
Mrembo Neema Chande aliyeshiriki mashindano ya urembo mwaka 2007, ambaye anadaiwa kuwa miongoni mwa mabinti wa Kitanzania wanaojiuza/kuuzwa kwa ngono nchini India.
Hii ni biashara ya ngono! Ni utumwa wa ngono na kuudhalilisha utu wa mwanamke na Mtanzania kwa ujumla. Hebu soma hapa uone taarifa hii ya kusikitisha iliyotundikwa kwenye jukwaa maarufu la Jamii Forums na msomaji mmoja:
"Niliwahi kupost hapa JF habari za mabinti wanaosafirishwa kutoka Tanzania kupelekwa Delhi kwa ajili ya kufanya biashara ya uchangudoa kwenye mahoteli na makasino huku wakipost picha zikionesha baadhi ya saterehe wanazofanya huko.
Kinara wa kusafirisha mabinti hao anaitwa Shumileta na Serikali na viongozi wote mpaka balozi inamjua mtu huyu lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa ama inayotaka kuchukuliwa kuhusiana na hii issue. Hapa inaonesha dhahiri kabisa kuna viongozi wa ngazi za juu serikalini wakihusika na hii issue.
Leo ntaweka baadhi ya picha za mabinti hao wanaojiuza na profile zao wanazotumia katika mitandao ya kijamii.
Baadhi yao ni wanafunzi na wengine huondoka kwa kisingizio cha kwenda kusoma na wakifika huko wanafanya biashara hiyo,na wengine huondoka kwa nia ya kwenda kutafuta maisha.
Nchi nyingine ambazo ziko kwenye chart kwa human traffick from Tanzania ni Malysia na China