Home » Uncategories » PICHA ZA UTATA ZA MSANII CINDY RULZ NA AMA THE MAKER ZAVUJA YADAIWA WAMEKOLEA KIMAHABA. CHEKI HAPA
PICHA ZA UTATA ZA MSANII CINDY RULZ NA AMA THE MAKER ZAVUJA YADAIWA WAMEKOLEA KIMAHABA. CHEKI HAPA
Katika pitapita zetu camera ya Bongoclan imefanikiwa kupata picha za utata za msanii Cindy Rulz akiwa na Ama the maker ambaye pia ni msanii. Tukio hilo lilitokea wik iliyoisha katika club moja ya usiku na kuwaacha watu midomo wazi.