Latest Updates

VAZI LA LULU MICHAEL LAWATESA WANAUME WAPENDA SKETI




Vazi alilokuwa amevaa Lulu Michael katika fainali za Shindano la TMT lilizua balaa kubwa kwa wanaume wapenda sketi baada ya vazi hilo kuanika hadharani maungo nyeti ya msanii huyo.


Katika shindano hilo, Binti mdogo toka Mtwara, Mwanaafa Mwinzago, aliibuka kidedea na kujinyakulia milioni 50