Latest Updates

BAADA YA WOLPER KUKANA SIO MSAGAJI.. MAPAPARAZI WAKAMATA PICHA HII LIVE.. NA HUYU NDIYE ALIYEDHIBITISHA UKWELI WA MAMBO




Wakati msanii nyota wa filam jackline wolper akitumia nguvu nyingi kubisha kuwa hajawahi kuwa katika uhusiano wa kisagaji mwanaume ambaye ni mpenzi wake aitwaye Gee Modal au Gerald amekiri kwamba mpenzi wake huyo kweli alikuwa msagaji.

Kauli hiyo ya Gee modal imeshitua watu wengi na wapenzi wa sanaa kwa ujumla ambao wanasema kamwe hawakuamini mrembo kama huyo ni miongoni mwa watu waliopitiwa na pepo la usagaji.

Katika mahojiano ambayo Gee modal alifanya bab kubwa magazine alisema kwamba jack amewahi kufanya vitendo hivyo vya usagaji kipindi cha nyuma lakini sasahivi ameacha.