Latest Updates

Batuli Afunguka:Sijawahi Mpenda Mwanaume Kama Nilivyompenda Mtunisi


Kwa Mara nyingine tena Mwanadada Mwigizaji wa Bongo Movies amefunguka na Kutoa Data zake za Kimapenzi na Kusema Kuwa toka aachane na Mtunisi Hajawahi Kumpenda Mwanaume Mwingine kama alivyompenda Jamaaa...Amesema "Nilivyompenda Mtunis ni ngumu kumpenda mwingine kama hivyo ,Kwa kawaida Kupenda huwa ni mara moja tu mengine huwa ni maigizo tu"