SIJAWAHI KUPENDA KAMA NILIVYO MPENDA MTUNIS...!
KWA mara nyingine, staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amemwaga data za kimapenzi akidai hajawahi kumpenda mwanaume kama alivyompenda Nice Mohammed ‘Mtunis’.
Staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Batuli alisema licha ya kuwa walimwagana na staa huyo lakini hatokuja kupenda mwanaume kama alivyompenda Mtunis.
“Nilivyompenda Mtunis ni ngumu sana kumpenda mwanaume mwingine kama hivyo na kwa kawaida kupenda huwa ni mara moja tu mengine
Posted