Latest Updates

JINI KABULA AMTEKA KIMAPENZI MADEE WANAONGOZAJA KAMA KUMBI KUMBI

Siku za Karibuni Mwigizaji wa Sinema za Kibongo Jina kabula inasemekana amelinasa penzi la Mwaimbaji maarufu wa Bongo Flava Madee , Habari zilizozagaa ni kuwa huwa jamaa wanaongozana kila mahali kama kumbi kumbi

iwe shopping kwenye maduka na hata sehemu za kuogelea...Baada ya Madee kutafutwa amekana tuhuma hizi na kusema kuna kazi wanafanya pampja ndio maana wanatembea wote kila mahali ...Jina kabula Aliwahi kutoka na Tuesday mwigizaji mwenzake ni walipata mtoto pia siku za karibuni alikuwa anatoka na Bushoke