Latest Updates

Mme Wangu Anatembea na Rafiki Yangu


Jamani nisaidieni nifanyaje maana kila siku nakuta sms za mapenzi kwny simu ya mume wngu. Amemsevu rafiki yangu jina lingine baada kupiga simu nikagundua ni namba ya rafiki yangu kipenzi tena wa Karibu Kabisa, Hapa Nimekosa Pozi Kabisa sijui Nianzie wapi na Niishie wapi Kibaya zaidi nilivyozidi kuchunguza nimekuta na picha za utupu za rafiki yangu huyo kwenye simu ya mume wangu akimuonesha jinsi alivyoumbika...


Naomba ushauri