KIJANA ALIYEJIFANYA KIDUME WA KULALA NA MAKAHABA WAWILI AKIONA CHA MOTO
Mwanaume mmoja ambaye ni muokota chupa maarufu aliyetambuliwa kwa jina moja la Hamad anadaiwa kunusurika kufa katika nyumba moja ya kulala wageni iliyoko eneo la Manzese jijini Dar kufuatia kuthubutu kwake kufanya ngono na makahaba wawili kwa pamoja.....
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, inaelezwa kwamba mara baada ya Hamad kujipatia pato lake baada ya kuuza chupa za plastiki,alikwenda kuwanunua makahaba hao na kuwataka wakafanye ngono shirikishi.....
"Hawa makahaba kazi yao ni kuuza miili,walipomuona amekwenda na pesa nzuri wakamkubalia,kumbe huyu bwana kula yake ni ndogo, mwilini kwake kumejaa gongo tu na wala hana chakula cha kutosha.Walipokuwa chumbani wanawake hawa walimzidi nguvu akapoteza fahamu" Alisema shuhuda
Aliongeza kwamba makahaba hao walikuwa na utu, baada ya kumuona hajiwezi walimtoa chumbani na kumpeleka uwani ambako walimmwagia maji mpaka akazinduka....
Hata hivyo inaelezwa kwamba, baada ya kurejewa na nguvu kama kawaida, Hamad alitaka tena kuingia chumbani na warembo hao ambao walimkatalia na kutishia kumtelekeza akizingua tena....
Posted