Latest Updates

Lamar Odom akataliwa kuingia Club aliyokuwepo Khloe Kardashian na boyfriend wake mpya French Montana


Mume wa dada yake Kim Kardashian "Lamar Odom" amekutana na dhalilisho ambalo hakutegemea katika maisha yake baada ya kukataliwa kuingia Club aliyokuwemo Mke wake "Khloe Kardashian" na
boyfriend wake mpya Rapper French Montana, wakiruka debe.



Yote hayo yametokea Penthouse, ambapo Lamar allikuwa akiingia Club hiyo akiwa na washkaji zake. Lakini Lamar alikutana na miamba miwili. French Montana na Khloe Kardashian"
Lamar na marafiki zake walisimamae ple mlangoni kwa muda na kuamua kuondoka kushindwa..Muangalia Lamar akijibu kwa hasria baada ya mtu mmoja kutaja jina khloe kardashian.


French Montana alikuwa ni special guest siku hiyo katika Club hiyo, hata alituma kpicha yake na Kim Kardashia katika account yake ya Instagram na maandishi yanayosema "Shout out to my BFF @kimkardashian for coming out tonight party was turnt up."