Latest Updates

Picha 10 za Miss Talent Dar City Centre wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari.


Mashindano ya vipaji vya warembo ambao wanashiriki kwenye mashindano ya urembo Miss Dar City Centre ambayo yatafanyika kwenye ukumbi wa New Club Maisha,miongoni wa burudani zilizotajwa ni pamoja na ile inayowahusisha wasanii wa muziki wa kizazi kipya kama Rich Mavoko,Bonge la Nyau na Tid.

Nimeambiwa kuwa shindano la urembo rasmi litakuwa ni tarhe 25 mwezi huu wa tano pale Escape One lakini kesho Mei 16 ni mashindano ya vipaji,cheki picha hizi za warembo.