Latest Updates

Maajabu ya jinsi mtoto wa miaka minne alivyookolewa na Paka baada ya kunga’twa na mbwa wa jirani


Yani hii imehuzunisha watu wengi sana kwa jinsi mtoto alivyovamiwa lakini ikawapa furaha baadae baada ya paka kutokea na kumuokoa huyu mtoto ambae wanaishi nyumba moja huko Marekani.