Home » Uncategories » Picha,Kukiwa Na Game Ya Nyumbani, LeBron James Anapatikana Kwenye Hii Nyumba Yake Ya Miami
Picha,Kukiwa Na Game Ya Nyumbani, LeBron James Anapatikana Kwenye Hii Nyumba Yake Ya Miami
LeBron James tayari ni jina kubwa kwenye NBA, hii ikimaanisha sio tatizo kwake kuwa na magari ya kifahari, biashara kubwa na nyumba kwenye kila mji anaotaka kuishi. Baada ya kujiunga na Miami Heat miaka kadha nyuma alinnunua hii nyumba.
Posted