Post Ya Inspector Haroun Kuhusu Kazi Mpya Na Juma Nature
Wasanii wakongwe wa muziki Tanzania walioiweka Temeke juu kupitia makundi yao na vipaji vyao , Inspector kupitia Gangwe Mobb na Juma Nature kupitia Wanaume Tmk wanafanya kazi pamoja tena. Kwa mujibu wa Inspector kazi hii inatengenezwa na Producer Dupy.
Posted