Latest Updates

YASEMEKANA HUYU NDIYE MREMBO WA OMMY DIMPOZ...TAZAMA PICHA YAKE HAPA


Mastaa wa muziki wa Marekani wanafahamika kwa desturi yao kuwatambulisha wapenzi wao hadharani na kwenda nao kwenye matukio mbalimbali. Tanzania ni tofauti hata hivyo. Ni mastaa wachache wenye ujasiri wa kuwaweka hadharani wapenzi wao, mfano mzuri akiwa Diamond Platnumz. Mastaa wengine akiwemo

Ommy Dimpoz hawajawahi kuwatambulisha wapenzi wao hadharani labda kama ni tetesi tu. Ommy Dimpoz ameshare picha kwenye Instagram akiwa na mrembo ambaye hata hivyo hajafafanua kama ni mpenzi wake ama rafiki tu