Taarifa ya kifo cha Mwimbaji Amina Ngaluma.
Amina Ngaluma ni miongoni mwa waimbaji ambao waliipa umaarufu bendi ya African Revolution ‘Tam tam’ kupitia wimbo wa Mgumba na baadae kujiunga na bendi ya Double M Sound,kupitia ukurasa wa Amina Ngaluma wa Facebook watu mbalimbali wameandika salaam za msiba huu.
Posted