Latest Updates

VIDEO: DIAMOND AONGELEA KUHUSU NAFASI ALIYOPATA KUSHIRIKI KATIKA TUZO ZA BET NOMINATION 2014

Jana nilibahatika kuwa mtu wa kwanza kumhoji Superstar Diamond Platnumz mara tu baada ya kuwa nominated kwenye BET Awards za Marekani kwenye kipengele cha Best International Act. Diamond ameeleza furaha yake kupitia hapa hapa chini.

ANGALIA VIDEO HAPA