Jeshi
la polisi wilaya ya bunda kupitia dawati la jinsia kwa kushirikiana na
idara ya ustawi wa jamii mkoa wa Mara imemfikisha mahakamani mzee mmoja
mwenye umri wa miaka 54 Bw Changwe Changige kwa kosa la kumuoa mtoto wa
kike mwenye umri wa miaka minane. Chanzo itv.