Katika
hali nisioitegemea tumegongana ana kwa ana gest mi na shemeji yangu wa
karibu ambae mme wake tunafanya kazi pamoja. mimi nikiwa nampeleka mgeni
wangu kwenye chumba alichofikia mara ghafla chumba chumba cha pili
mlango ulifungulia na kikatokea kichwa tu kugeuka tukagongana ana kwa
ana huyo shemeji yangu ilichukua takriban sekunde 30 kukodoleana macho
na baada kutoa salam sauti ya chini mimi niliingia chumba cha mgen wangu
kumuaga na kumtakia safari njema wakati natoka huku mwili ukiwa umekufa
gan kwa kutoamin nilichokiona kwa shemeji yangu na kutambua alienipokea
zamu ya lindo saa 12 jion mke wake ana madudu niliishiwa nguvu kabisa,
alikuja mhudum wa ile gest akaniitia chemba baadae akaja jamaa ambae
sikuweza kumtambua kutokana na mazingira na kunieleza kilichotokea muda
mfupi uliopita anaomba iwe niifanye kuwa siri kwanza ametokanae mbali
isitoshe ni mzazi mwenzie na akanikabidhi elfu 70 ambayo mi nilikataa
kuipokea huku nikimwambia kwasasa nahitaji kuwahi nyumbani mambo mengine
tutawasiliana kwa simu ili kukwepa ushaidi niliondoka lakin hatua
chache baadae ilipigwa simkuingalia ilikuwa ya shemeji yangu akinisihi
lile suala anaomba liwe siri kwa gharama yoyote ile na nimpe muda mfupi
mtu wake anafanya michakato ya hela soon nitapata kwa njia ya m-pesa.
kubwa kwangu jamaa tumetokanae mbali sana urafiki kwetu ni zaidi ya
ndugu tumesoma shule ya msingi moja tumeachana sec. tumeingia depo
pamoja na kupangiwa kituo kimoja yaani kama bahati tu hofu yangu ni
kwamba asikie hii isue najua alaf sikumpa taarifa atanionaje mimi? mpaka
sasa natambua kwamba ameoa na ana watoto wawili huyu jamaa ameniambia
kwamba ni mzazi mwenzie nashindwa kuelewa na proces zote za uchumba mi
nilihusika na sikuambia kama amezaa, katika nyakati tofauti nimeingiziwa
kwa mpesa zaidi mil. 1.2 kwa saa 17
nifanyeje?