Latest Updates

KUMBE HAWA NDIYO TEAM VILIKUU

DSC_0226
Ni wasanii wa Bongo muvi ambapo ni marafiki sana na wenye kushirikiana kwa kila jambo liwe la kheri au huzuni kama Odama, Davina, Cathy, Sandra, Maya, nk.
Watu wasio kuwa wanajuwa waliweza kujua pale Odama katika siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika Vijana Club siku za hivi karibuni ambapo aliweza kusherekea na watoto Yatima na baadhi ya wasanii wenzake wa Bongo Muvi. Odama aliweza kuwaita mbele marafiki zake hao ambapo ni ‘Team Vilikuu’ ndipo Mashosti zake wakaja Mbele na kuweza kupiga picha ya pamoja na kuweza kusherekea kwa pamoja siku hiyo.