Msanii
wa bongo flave lina sanga masaa mawili yaliyopita amepost picha
instagram ikimuonyesha yupo beach lakini nguo aliyovaa ikiwa inaonyesha
hadi chup*** yake aliyovaa miongoni mwa mashabiki wamefurahia na wengine
wameboleka sana na kuamua kumchana live hapo chini ni baadhi ya
comments za fan wake.Wilbatyamisa Unajizalilisha Dada angun siyo wa
kuvaa hivyo. Umeboa Marimmwakalinga11 Cjapenda best ur xo cuty but hilo
vazi bad!!! Annanold Hata kama ndio uzungu jamani ....Tako nje! Hapana
bwana Kipazalishuka sheeeeda! Scolaenna Chupi ileeeeeeeeee! Ziggydedon
bongo kweli ulaya Gracevenance Hata kama ni beach ndo uvae hivo kweli?
Nyie vioo vya jamii mmezidi bana halafu mtu akikwambia ukweli mnamind na
hao wafuasi wenu. Hebu jiheshimu na watu tutakuheshim bana, heshima
haiuzwiiiii Boazanna28 asa si ungetoa tu kinguo cha juu ili ulimwengu
wajue kuwa umeumbika mxiuuuuuuu Ashakhamisi41 Mh jamani hii dunia
imeisha kwa hiyo kama anakaka zake na wao wanaona adelterpaulsupertall
Mi nakupenda lina ila ulivovaa leo ishairl kama kutembea uchi ndo
kupendeza poleni mwanajmax mmmmh chup yote nje mursalthebest upumbavu tu
na ujinga.,.
Home » AIBU »
BONGO FLAVA
» LINAH SANGA ASHAMBULIWA NA FANS WAKE BAADA YA KUEKA PICHA AKIWA NA KICHUP*