Latest Updates

Lulu Michael Katika Muonekano Mpya wa Kistaarabu, Safi Sana Anafaa Kuwa Mke Sasa
















Lulu Michael Amekuwa Katika Midomo ya Watu kwa Muda mrefu hasa kutokana na mavazi anayovaa kuwa ya kutega wanaume, Tukio la Mwisho lilikuwa la hivi karibuni kwenye Fainali za TMT ambapo alivaa kivazi cha Uchokozi na kuwa gumzo mitandaoni..Sasa Hivi Juzi Staa huyo wa Bongo Movies Ameamua Kushare na Udaku Specially Picha hizo hapo juu akiwa katika Mavazi ya Kiutu uzima akionesha sasa amekuwa mavazi ya mitego sasa basi....Unamuonaje?