Latest Updates

Video:Gari Likitolewa Mtoni, Liliua Mke na Mume Baada ya Kugongwa na Basi La J4 Musoma




Ni ajali ambayo iliua watu 39 na kujeruhi wengine zaidi ya 70 huku baadhi yao wakibaki na ulemavu wa kudumu baada ya mabasi mawili ya J4 Express na Mwanza coach kugongana uso kwa uso darajani Sabasaba Musoma.
Hii ajali ilihusisha pia gari jingine dogo la tatu ambalo waliokuwemo wote Daktari wa hospitali ya mkoa wa Mara na mume wake walifariki papohapo baada ya gari hilo kugongwa na basi la J4 na kuingia mtoni kisha J4 akakutana uso kwa uso na Mwanza Coach.

Angalia Video Hapa: