Latest Updates

UMESIKIA KUHUSU P SQUARE KUFANYA WIMBO NA T.I

P SQURE AND T.I
Mwaka huu Psquare hawataki mchezo na mtuu baada ya kuachia nyimbo tatu kwa mpigo ikiwemo sapraiz ya nguvu ya video yao mpya inayoitwa Ejeajo ambayo wamemshirikisha Rapa nyota wa Marekani T.I .

Ejeajo, Shekini pamoja na Bring It On ni baadhi ya ngoma zinazopatikana kwenye albamu ya sita ya wakali hao inayotarajia kutoka mwezi ujao. Itazame Hapo Chini Video Hiyo…