Latest Updates

Hatimaye Jina la mtoto anayesemekana ni wa Chris Brown la gundulika.





Mtoto aliyeripotiwa kuwa ni mtoto wa msanii Chris Brown na mwanamitindo ‘Nia’ amekuwa chanzo cha kuachana kwa Chris na mpezni wake Karrueche Tran.

Habari mpya kuhusu drama hii ni kwamba jina la mtoto huyu wa Nia ni “Royalty” na mpaka sasa haijajulikana kama jina amepewa na Nia au Chris Brown. Chris before inking the birth certificate.Royalty Na Mama Yake Nia.