Latest Updates

Kwenye zile SELFIE amazing, ziko hizi kumi nimekuwekea pichaz na Video!



Selfie na umaarufu wake, ukiingia huko Instagram ni Selfie kwenda mbele.
Utafiti wa mwaka 2013 unaonyesha wanawake wa Australia wanaongoza kwa kujipigaSelfie kwa lengo la kuweka katika mitandao kijamii kama Facebook, Instagram, naTwitter.
Unaambiwa katika zile kali zaidi kuna hizi kumi nimekuwekea hapa, nyingine zinashtua, lakini nyingine ni balaa!
Zicheki halafu nitafurahi ukiniandikia ipi ni kali kuliko zote?

Hakujali kwamba atapigwa na ng’ombe, alipiga Selfie yake huku anakimbizwa.


Huyu alipiga Selfie na papa.

Hawa walitumia Selfie stick, juu kabisa ya ghorofa.

Hii Selfie ilipigwa angani.

Huyu alipiga akiwa juu ya Jengo refu.

Huyu alipiga na twiga.

Huyu alitumia Selfie stick akiwa angani na parachute.

Hii ni kutoka juu ya Jengo refu.

Huyu alitumia Selfie stick akiwa kwenye Helicopter.

Hapa kwenye pozi na chui.
Tazama Video ya Selfie kali hapa.