Latest Updates

NAHISI ZIWEZI KUENDELEA KUWA MPWEKE, NAHITAJI PENZI






Toka niachane na boyfiend wangu ni mwaka sasa nimejitajidi kuwa mwenyewe kwa muda lakini naona sina sababu na mimi nahitaji kupendwa, nahitaji mtu wa kuwa karibu nae na kumwambia yaliyo moyoni mwangu. Nimechoka na upweke jamani.!! tatizo ni kwamba Kila atakaye nitongoza naona kama ndio wale wale tu hakuna jipya…Ila sasa nimeamua Acha number au e-mail mwenye Bahati Ntampigia tuongeee…