Home » Uncategories » Umeipata Hii Producer Don jazzy hajalala nyumbani kwake zaidi ya mwaka mmoja, sababu iko hapa
Umeipata Hii Producer Don jazzy hajalala nyumbani kwake zaidi ya mwaka mmoja, sababu iko hapa
Producer wa Marvins records Don Jazzy amesema hajarudi nyumbani kwake kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa sababu ya kazi nyingi na safari anazopata kwenye kazi yake ya muziki. Nyumba yake iko kwenye mji wa Nicon.
Don Jazzy anasema “ Natumia muda mwingi kwenye studio yangu iliyopo Lekki na inavyumba nane vya kulala, nina kila kitu hapo na nina ishi na maproducer wengine wawili,nasahau kurudi nyumbani “.
Don Jazzy pia ameomba watu wamsaidie apate mke mwaka huu sababu ana miss kuishi maisha y kawaida.
Posted