Latest Updates

Hii ndio Video ya Diamond Platnumz iliyofikisha watazamaji zaidi ya milioni 10 youtube.




Video ya My Number One Remix ya Diamond Pltanumz Ft Davido kutoka Nigeria imefikisha watazamaji milioni 10 mpaka sasa kwenye mtandao wa youtube na kuwa video yake iliyotazamwa zaidi mpaka sasa mtandaoni.