Latest Updates

Usipitwe na Hii Msami kazungumzia safari ya Irene Uwoya Bungeni…#UHeard Audio)





Irene Uwoya baada ya kushinda vita maalum hakusikika kwenye vyombo vya habari akizungumza lolote juu ya ushindi huo…lakini Soudy Bown hakuridhika na ukimya wake akaamua kumtafuta mtu wake wa karibu ili aweze kuzungumzia ushindi wake.

Soudy alimtafuta Msami na kuweza kuzungumza naye kutaka kujua machache kuhusu ushindi wa Irene Uwoya na amesema kwanza yeye si mpenzi sana wa mambo ya siasa na baada ya Irene kumwambia alifurahi na pia anashukuru kwa hatua aliyofikia.