Latest Updates

Sauti Sol hawapo nyuma na headlines za Burudani, wamekuja na ‘Shake Yo Bam Bam’…(Video)




Wakati ‘Nerea’ inaendelea kufanya vyema kwenye headlines za burudani, kundi la Sauti Sol limerudi tena kwenye headlines baada ya kuachia Video ya single yao mpya ‘Shake Yo Bam Bam’.

Video ya wimbo huo imefanyika katika jiji la Nairobi na Director kutoka Nigeria Clarence Peters,
chini ya kampuni yao ya Sauti Sol Entertainment.

Itazame hapa mtu wangu…