Latest Updates

PICHA ZA UCHI ZA WATU MAARUFU ZAANIKWA MITANDAONI .....FBI WAINGIA MZIGONI KUNUSURU JAHAZI



Idara ya upelelezi ya nchini marekani FBI inachunguza kwa ukaribu madai ya maelfu ya accounts za watu maarufu kutekwa,na kinachotafutwa hasa ni picha za utupu za watu hao maarufu ambazo zimekua zikianikwa mitandaoni bila ya muwekaji kujulikana.
Hili limemkuta mshindi wa tuzo ya Oscar Jennifer Lawrence ambaye picha zake za uchi liachiliwa mtandaoni, kampuni ya utengenezaji wa simu za mkononi Apple wamesema wao wanachunguza ikiwa uvujaji wa picha hizo umesababishwa na iCloud .