Latest Updates

MAKUBWA NA MAZITO HAYA: MUME ALIYEFANYIWA USODOMA AFUNGUKA MCHEZO MZIMA ULIVYOKUWA! KUMBE HAJAJIUA



Mwanaume aliyedaiwa kufumaniwa na mke wa mtu na hatimaye kufanyiwa usodoma.
MH! HATIMAYE YULE MWANAUME ALIYEDAIWA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU NA HATIMAYE KUFANYIWA USODOMA NA WATU SITA, AKIWEMO MUME WA MWANAMKE HUYO AMEFUNGUKIA MCHEZO MZIMA.HIVI KARIBUNI MWANAUME HUYO (JINA TUNALO) AMBAYE NI MUME WA WAKE WAWILI NA MKAZI WA YOMBO KIWALANI, WILAYA YA ILALA JIJINI DAR MWENYE UMRI WA MIAKA 34 ALIKUTWA NA MKASA HUO KWENYE NYUMBA YA KULALA WAGENI IITWAYO YOMBO EXECUTIVE INAYOMILIKIWA NA ATHUMAN MAEMBE (PICHANI).
Mara baada ya picha za tukio hilo kuenea kwenye mitandao ya kijamii na watu kushangaa, gazeti hili lilituma timu yake ya habari za uchunguzi ili kupata ukweli wa tukio hilo.Uwazi lilifanikiwa kumpata mwanamume huyo ambaye ni mfanyabiashara, pia alijitambulisha kuwa yeye ni mwelimishaji rika wa magonjwa ya ngono, afya ya uzazi, madawa ya kulevya na unyanyasaji wa kijinsia.
Alianza kwa kusema: “Ni kweli mimi ndiye niliyetendewa ukatili ule. Natamani kujiua kwani mambo yale nayasikia tu usiombe yakukute.
“Nimefedheheka sana, sina mahala pa kuficha aibu hii kubwa. Kila nikikumbuka kuwa nina wake wawili na watoto, wazazi, marafiki na ndugu, bora hata wangeniua kuliko kuniacha nazidi kudhalilika hivi.

“Siku ya tukio ilikuwa Jumamosi ya Agosti 23, mwaka huu. Kuna mwanamke mmoja anaitwa mama Lilly alinipigia simu. Kwanza alikuwa akinipigia simu mara kwa mara wiki moja kabla ya tukio akinieleza kwamba ana shida na mimi, alisema mume wake amekuwa akimnyanyasa kijinsia.

“Siku hiyo, saa tatu asubuhi mama Lilly alinipigia simu huku analia, akasema kwamba mumewe kampiga na kumfukuza nyumbani hivyo anaomba kuonana na mimi kwa ajili ya ushauri ila alitaka tukutane naye maeneo ya Mtongani, Mbagala au Tandika.
SOMA ZAIDI>>