Latest Updates

WEMA SEPETU HANA PESA YA KUNILIPA, NAHANGAIKA ILI TUSILALE NJAA: MARTIN KADINDA



Martin Kadinda na Wema Sepetu

Martin Kadinda ambaye ni meneja wa Wema Sepetu ameibuka na kusema kuwa Wema Sepetu aliyekuwa akimwaga pesa vilivyo kwasasa hana pesa ya kumlipa bali yeye Martin anahangaika kwa issue zake binafsi ili wasilale njaa, Kadina alisema kuwa yeye na Wema hawana mkataba wa kulipana bali wapo kishkaji zaidi.


Akizungumza na Visa Martin alisema ......
"Wema hana pesa ya kunilipa mimi, ninachofanya nahangaika kutafuta deals ili mimi na yeye, maisha ni tusilale njaa, maisha ni kutegemeana"


Martin aliongeza kwa kusema "kikubwa ninachofanya ni kutafuta dili za kazi nyingi ili tuwezu kupeana pasu kwa pasu lakini si mshahara, nafanya kazi na bosi wangu Wema kishikaji na kwa kweli nafurahia sana utaratibu huu"SOMA ZAIDI>>